Vipi na yeye atoe salamu za rambirambi za kejeli kama alivyofanyiwa pale mahakamani?!!

Mlianza nyie kwa ndugu jamaa n marafiki wa Ali kibao. Na kusema KIFO NI KIFO SO WHAT'S.
kazi ni kipimo cha utu
 
Mkuu, salamu za rambirambi, tena kutoka kwa Mwenyekiti, haziwezi kutoka kienyeji vile Huku mtoaji hizo salamu anatabasamu tu kama vile ni harusi. Nitahitimishaje kama si kebehi?!!
Ilitakiwa apost kupitia social media wakati yupo gerezani?

Alisema wazi kwamba salamu zake za pole ziwafikie wafiwa na alimuelekeza Makamu wake afikishe pia.

Unasema alizungumza akiwa anatabasamu? Lissu yupo gerezani zaidi ya mwaka na wakati wote huo amekuwa na uso wa tabasamu na bashasha.

Ulitaka afanye nini zaidi ya hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…