Vipi naweza kuagiza mzigo kupitia kampuni ya Alibaba mzigo ukafika salama?

mkombozit

Member
Joined
Jul 29, 2021
Posts
8
Reaction score
2
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje ya nchi kupitia alibaba
 
Nenda instagram watafute FIRST VISION WATAKUSAIDIA SANA
 
Back
Top Bottom