Vipi nikikwambia unaweza ukatengeneza logo bila kutumia experience yoyote?

Joined
Oct 5, 2021
Posts
14
Reaction score
9
Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote!

fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop.

1. Tutamia tool inaitwa chat gpt katika kutengeneza prompts. Kama huna account create hapa https://chat.openai.com/auth/login

Ukimaliza ku create account au login fanya hivi Generate prompts kwa kuandika : Generate prompts for a company slogan based on software development. Ila wewe unaweza unachagua kampuni yako ibase kwenye software development au labda graphics design

Then chagua slogan ambayo umeipenda copy then paste. Kama Chat gpt inazingua pitia thread hii
2. Sasa tunaenda kwenye Artificial intelligence (AI) logo generator kutengeneza logo yetu hapa sio lazima kutengeneza account ingia hapa Free Logo Maker & Intelligent Brand Designer ingiza jina la kampuni then pick industry name hapa inaweza ikawa ni software development au kitu ambacho wewe unataka!

Then chagua rangi hakikisha unachagua rangi ambayo ni relevant kama hujui nenda uliza kwa chat gpt Baada ya hapo Screenshot zile design za logo ambazo umezipenda maana kama utataka ku customize itabidi kulipia iwe screenshot chache ambazo ungependa kama kuna yangu hapo chini




3. Step ya tatu tutaenda kwenye tool nyingine ambayo inaitwa Canva hapa hakikisha una account https://www.canva.com/ kama huna account create au kama unayo login. Kuna free na kuna premium kwa baadhi ya features.


Ingiza kwenye Canva menu then nenda saerch kwenye icon ya search andika logo au scroll hadi chini utakuta wameandika logo then click see all then



Click kutokana na maelekezo ya hapo chini
Click create blank then tunaanza ku customize logo yetu kutoka kule tuliko generate kwa kutumia Looka au zile picha tulizo screenshot.

Baada ya ku create blank fuatilia kwenye picha hapo chini then kwenye alama ya kujumlisha chini kushoto kwako


Baada ya ku click mchoro hapa chini nenda search elements nenda search color background ya logo yako ambayo ilitengenezwa na Looka


Click kwenye Rangi husika ambayo utatumia ila ila tumia graphics kwenye design

Itaendelea!
 

Attachments

  • Screenshot_20230219-114505~2.png
    31 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…