Jamani mm leo napasuka wazi mana nimevumilia sana,ukienda ofisi za tcu hasa chumba no.9 na 13 kuna wahudumu no.9 wa kiume no.13 wa kike,jamani wanajskia na huduma zao ni mbaya tena hawafai kuwepo pale kwani wamefanya ofisi kama za baba zao na hakuna aliyeingia kuhudumiwa akakosa kulalamika huduma mbovu na dharau za hali juu walizonazo wale limbukeni,wanawachafua mpaka wafanyakazi wengine wenye roho nzuri na uchangamfu kama chumba no.4 pia mapokezi wako safi sana na kazi zao,bora waondolewe