Vipi ofisi za TCU chumba namba 9 na 13 mbona mnaogopwa?

Vipi ofisi za TCU chumba namba 9 na 13 mbona mnaogopwa?

joel amani

Senior Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
100
Reaction score
8
Jamani mm leo napasuka wazi mana nimevumilia sana,ukienda ofisi za tcu hasa chumba no.9 na 13 kuna wahudumu no.9 wa kiume no.13 wa kike,jamani wanajskia na huduma zao ni mbaya tena hawafai kuwepo pale kwani wamefanya ofisi kama za baba zao na hakuna aliyeingia kuhudumiwa akakosa kulalamika huduma mbovu na dharau za hali juu walizonazo wale limbukeni,wanawachafua mpaka wafanyakazi wengine wenye roho nzuri na uchangamfu kama chumba no.4 pia mapokezi wako safi sana na kazi zao,bora waondolewe
 
mm nammind yule mlinzi kukataza watu kuingia na mabegi ndani ..nlienda na begi lilikuwa limejaa mipesa akaniambia eti nliache nkasepa zangu
 
mm ndo usiseme walinikatazia kuingia chooni na nilikuwa naumwa tumbo la kuharisha wakasema nichukue bajaji niende sayansi halafu nirudi badae kwenye foleni ya kuingia chumba na no.13,mpaka leo nimeghairi kuhama chuo nitasoma peke yangu songea
 
jamaa namba tisa choko tu!wakija wahindi anawahudumia mapema,yaan yule jamaa mrefu mrefu waiti choko tu,wanasababisha kuharibu ndoto za watu kusoma,
 
i seeee....#13 &09 utazan hizo ofis za baba zao,nmemaliza mwez hapo tcu hata tatzo halijasoviwa,hasa kale ka mama na kale ka mkaka fulan abnomal ipo ck
 
Back
Top Bottom