Vipi pesa madafu - Kenyan shilling now rallies to an 8-month high

πŸ˜€πŸ€£πŸ˜›πŸ˜
So, if it's your first time to engage in a business with a territory with a different political, economic system etc, you become unfamiliar with such a basic and fundamental matter, exchange rates!!?? Mind you, you came across with TZS 5 mio at payment stage, not at business plan or a Feasibility stage. Anyways, those are tough things for you to comprehend. Endelea na biashara yako ya mitumba.
 
Sasa nikiwa na noti 100 ya 10,000 ya Kidanganyika mimi ni Millionaire????
 
Sasa nikiwa na noti 100 ya 10,000 ya Kidanganyika mimi ni Millionaire????

Halafu corruption za Bongo wao hutaja trillions, yaani tu basi hehehehe
 
A stable currency u
Hahaha.
 
ni kama sisi huwashangaa nyinyi mkitaja sent,tunajiuliza hizo ni gani nazo hizo.

kwani kwenye currency yenu hakuna tillion[emoji28][emoji28][emoji28]

Trillion ipo kwenye level ya bajeti huku, sio kitu cha kupigwa kama hela ya mboga, nyie balaa....
 
Trillion ipo kwenye level ya bajeti huku, sio kitu cha kupigwa kama hela ya mboga, nyie balaa....
uliyeambiwa tz anaweza kupiga tillion moja ni nani??

hiyo hela ishia kuisikia hivyo,acha na maneno za siasa.bajeti nchi nzima tillion 30 na kuna wakati haitimii.wizara zinazomaliza tillion 1 kwa mwaka hazifiki tatu tz.
 
Hela ipi ya Uarabuni maana dinar naifahamu inaendana na dollar bega kwa bega, anyway sitashangaa kama na nye mnataka mfanane na waarabu maana hata Darisalama jina la kiarabu, mumekaa kiarabu arabu hivi.
Kuwait dinar.
Maana kuna dinar ya Suudia na kuna dinar ya Kuwait.
Kuwait ya dinar ni Mara mbili unusu ya dollar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliyeambiwa tz anaweza kupiga tillion moja ni nani??

hiyo hela ishia kuisikia hivyo,acha na maneno za siasa.bajeti nchi nzima tillion 30 na kuna wakati haitimii.wizara zinazomaliza tillion 1 kwa mwaka hazifiki tatu tz.
sio tillion*.... ni trillion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…