MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tanganyika tuna safari ndefuSijui ikulu huwa Kuna nini?
Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba.
Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani.
Zitto akiona Kuna waarabu basi beki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake.
Pasua kichwa kabikia Mbowe. Ulifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa umewadhibiti Lema, Mnyika, Lissu, Sugu na wengine wote indirect. Mbowe akielekea ikulu tu lazima gia ibadilikie angani fasta na hamna wa kubisha kabisa.
Kigoma ndio waliweka kambi kubwa, maeneo ya UjijiHivi Waarabu walifika Kigoma au waliishia Tabora kwa akina Maulidi Kitenge?
Najua David Livingston ndio aliivinjari Kigoma yote akaacha baraka za akina Baba askofu Dr Mpango!
Basi ndio sababu Kabwe anapagawishwa na majini yao!Kigoma ndio waliweka kambi kubwa, maeneo ya Ujiji
Huo mkataba wa DP World ndiyo upi?Sijui Ikulu huwa Kuna nini?
Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani.
Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake.
Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa umewadhibiti Lema, Mnyika, Lissu, Sugu na wengine wote indirect.
Mbowe akielekea Ikulu tu lazima gia ibadilikie angani fasta na hamna wa kubisha kabisa.
Kapige mswakiHuo mkataba wa DP World ndiyo upi?
Babu umeandika mambo hatari kwako. unaweza kujikuta upo mahakamani unajibu kesi ya kuchochea uhaini.Mimi nashangaa sana nchi hii jinsi watu walivyoipigania Hadi kupatikana kwa Uhuru. Uhuru wa kuongea tulikuwa nao toka enzi mkoloni lakini tulikataaa ukoloni wa kunyonywa/exploitation of our national resources.
Kumbuka mwaka 1978 Tanzania ilivamiwa na Nduli Iddi Amini Kule Kagera na ilikuwa sehemu kidogo tu ya ardhi ya Tanzania kilichotokea imebaki kuwa historia ya Dunia - Mwalimu Nyerere alisimama kidete kuhakikisha ardhi ya Tanzania inabaki kuwa ya Tanzania na kuwa salama.
Jeshi la wananchi kazi Yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi hii, Leo eneo lote la bahari toka kaskani Hadi kusini linakuwa mikononi mwa mwarabu ( nchi nyingine kabisa - Dubai) halafu wao na mapumbu Yao wamelala tu kutetea ugali wao, hivi wanajeshi wa nchi hii mnajielewa kweli?
Hivi wanajeshi wa nchi hii hamuoni Wala kusikia kilio Cha watanzania kuhusu kutetea Rasilimali na mipaka ya nchi hii?
Ukiachana na Bandari, oneni Kule ngorongoro nchi inavyochukuliwa na waarabu na kuwa nchi ndogo ndani ya nchi yetu - yaani mwarabu anakuwa na sauti ndani y resources za nchi yetu halafu nyie mpo tu na mnaona kinachoendelea? Hapo ndio mnalinda mipaka ya nchi hii kweli?
JWTZ si Kuna military intelligence humo, au nanyi mmelala usingizi wa pono?
Hivi ni Nini kinachowashinda kuchukua maamuzi magumu ili kumrudusha huyu Mzanzibari kwao Kule pemba au akimbilie huko kwa wajomba zake Dubai na sisi tuanze upya? Fanyeni maamuzi ya kiume ambayo hata vizazi vijavyo watakuja kuwakumbuka na hapa ndio mtajiongezea heshima kwa taifa hili.
Watanzania wataona kweli Wana jeshi imara ambalo lipo kulinda Resources za nchi hii na mipaka yake.
Hebu jiulizeni PM kichwa kibovu kile hakieleweki kabisa na siku hizi anaongea pumba tu, si manajionea wenyewe? Fanyeni maamuzi magumu na watanganyika tupo nyuma yenu kwa hili. Hakuna mpumbavu anayeunga mkono ujinga huu unaendelea.
Imagine; VP ndio amekuwa kama katekista Sasa hivi, yaani ni BONGE la boyaaa, hata kuongea ni kazi amekaa kama ansuiri tu 2025 ifike akae atulie. Yaani hata Mkuu wa wilaya akiongea kitu kinaeleweka kuliko hiki kituko tulicho nacho, nadhani wenyewe mnaliona hilo.
KUMBUKA MWAKA 1964 ZANZIBAR WALIFANYA MAPINDUZI ILI KUMUONDOA MUARABU / Kumbukeni utawala wa sultan uling'olewa Ili wazanzibari wawe huru na ardhi Yao na kuupinga utumwa na unyonyaji wa waarabu, Leo hii Cha kushangaza nyingi huku bado mnaona mwarabu huyo huyo aliyetimuliwa Zanzibar Sasa anakuja kupora Mali za Tanganyika na nyinyi mpo tu mnatoa mimacho! HIVI NYIE WANAJESHI MMEROGWA NA NANI?
MNAJUA KIAPO MLICHO APA CHA KULINDA MIPAKA YA NCHI HII?
NB: Fanyeni maamuzi magumu kwa mustakabali wa watu million 60 wa Tanganyika, achaneni na hizi drama sijui nchi itagawanyika huo ni ujinga.
Nyie ndio suluhisho pekee, mfyatueni tu aondoke akimbilie huko kwa wajomba.
Baada y miezi mitatu serikali ya mpito Ili kuandaa uchguzi Mkuu na nchi kurejea kwa watu sahihi. Na hapo Sasa wanafiki wote wanaojipendekeza kwa mama tutakuwa timeshawajua na wenye uchungu na nchi na Rasilimali za Tanganyika tutakuwa tumeshawajua.
NINAWATAKIA KILA LAKHERI KATIKA UTETEZI WA MIPAKA NA RASILIMALI ZA NCHI HII.
BADO TUNA IMANI NA NYIE JWTZ NYIE NDIO WA KUTUOKOA KWA SASA.
Hupendi ila Unapenda.Babu umeandika mambo hatari kwako. unaweza kujikuta upo mahakamani unajibu kesi ya kuchochea uhaini.
Kuna waandishi wa habari wa Tanzania Daima walijikuta mahakamani kujibu tuhuma kama hizi. Waliandika kichwa cha habari tu na kuwakumbusha wanajeshi wa jeshi la wananchi kama wewe ulivyoanya hapa.
Kwa maoni yangu natamani sana watokee wazalendo huko uliko waomba waje waweke mambo sawa toka mikononi mwa mwanasiasa wetu wa ovyo. Mwisho wa siku matamanio yangu yabaki kuwa yangu sheria zifuatwe na hao wanajeshi na wanasiasa pia wafuate sheria hasa sheria mama wasivunje katiba kwenye mambo ya uwekezaji.
Natamani itokee sababu ya madudu mengi yanayo endelea.Hupendi ila Unapenda.
Unataka yatokee ila Unaogopa.
Kelele za chura tu hizoWacha kujidanganya, kwenye hili la bandari ahakikishe anatukaba watanganyika wote, hujiulizi kwanini wale wakina Mwabukusi na Nshala wameshaanza kuwatisha na sio wanasiasa?
Hii ngoma iko deep zaidi ya mnavyodhani wengi wenu.
Mengi yaliyotokea mwanzo nchi hii wameachiwa wanasiasa wayasimamie, lakini hili la bandari kwa mara ya kwanza nimeona spidi ya wanasiasa kama Lissu ikienda sambamba na wanaharaki wengine kama Mwabukusi, na wengineo.
Natamani itokee sababu ya madudu mengi yanayo endelea.
Pia naogopa kuandika au kusema hadharani nawaomba wafanye hivyo sababu naweza kuivaa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake unaijua ni KIFO au ukinusurika basi jela miaka mingi sana kama siyo kifungo cha maisha.
Ipo siku utaelewa tuJidanganyeni tu.
Mbowe hatakiwi kabisa kuhudhuria mkutano kama huo, mkataba huu haufai na ni aibu kwa nchi yetu.Sijui Ikulu huwa Kuna nini?
Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani.
Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake.
Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa umewadhibiti Lema, Mnyika, Lissu, Sugu na wengine wote indirect.
Mbowe akielekea Ikulu tu lazima gia ibadilikie angani fasta na hamna wa kubisha kabisa.
Sijui Ikulu huwa Kuna nini?
Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani.
Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi tayari katoa baraka zake.
Pasua kichwa kabakia Mbowe. Ukifanikisha kumdhibiti Mbowe pia inakuwa umewadhibiti Lema, Mnyika, Lissu, Sugu na wengine wote indirect.
Mbowe akielekea Ikulu tu lazima gia ibadilikie angani fasta na hamna wa kubisha kabisa.