Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Sasa shujaa wetu wewe ni wolf ebu fanya uwezavyo washawishi hao wajuba wapindue ubao usomeke vingine.
Mimi muoga acha nibaki uraiani nagonga ugali wa mama naniliu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa shujaa wetu wewe ni wolf ebu fanya uwezavyo washawishi hao wajuba wapindue ubao usomeke vingine.
Mbowe hatakiwi kabisa kuhudhuria mkutano kama huo, mkataba huu haufai na ni aibu kwa nchi yetu.
Zanzibar ni kupe mkubwa kwa Tanganyika. Isipokuwa Bara itabidi mtawaliwe tena na sultan wa Oman la sivyo mtakuwa maskini sana.Kuliko Mkataba hewa wa kuivamia Zanzibar muliolazimisha kuchukuwa nchi yetu ??
Mkuki kwa nguruwe tu ??
Zanzibar ni kupe mkubwa kwa Tanganyika. Isipokuwa Bara itabidi mtawaliwe tena na sultan wa Oman la sivyo mtakuwa maskini sana.
Hako kajibandari mapato yake kwa mwaka ni zaidi bajeti ya Zanzibar kwa miaka 10.hata tukitawaliwa na chawa ni nchi yetu ,mbona nyinyi mnalalamika na kijibandari tu ??
Mkuki kwa nguruwe kwa ulimwengu ni mchungu.
Ulaji wa makanisa utaondoka wacha DP iingie , nyie mlie tu na mapadri yenu
Hako kajibandari mapato yake kwa mwaka ni zaidi bajeti ya Zanzibar kwa miaka 10.
Zanzibar ombeni muungano usivunjike mtataabika sana, sio kwa chakula umeme, na kutawaliwa na mwarabu kama zamani.Ndio maana mkatuvamia na kutuuwa kwa maelfu ?? kwa sababu mapato yenu ni mara kumi ya Zanzibar ?? Akili gani hiyo ??
Kwa hao walafi waliojaa hapo bandarini ?? ndio maana ikaiwa DP iweke sawa mambo nyinyi mnaiba na kuleweya na kutafuta papuchi hamna lolote mnaloliweza zaidi ya hayo
Itakuwa hujui mambo ya Muungano basi....bandari Zbar haimo kwenye mkataba DP W?