Vipi Rutto akiplan coup

Vipi Rutto akiplan coup

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Nimetafakari hapa nikasema vipi Rutto akimwambia Kenyatta "Hallo ubaki hukohuko,usikuje huku mi ndio rais" si itakuwa ndo coup tayari
 
Haya ni maneno ya uzushi kwani umesikia Kenyatta anaenda kuhukumiwa huko
 
Hahahaaaa....... Angalia usije ukachochea mauaji tena na ww ukaitwa the hague
 
Hana ubavu mkuu wa usalama wa taifa,mkuu wa majeshi wote kabila ya Uhuru unafikiri ataweza kufanya kitu hapo.
 
Kwa line up ya Mumbis kila kona kuanzia Police, Jeshi na State Security hawezi thubutu
 
KK hana jeuri ya ku plan coup kwani,mkuu wa majeshi,mkuu wa usalama wa taifa na wakuu wengine wa sehemu nyeti au vyombo nyeti vya kiusalama,ukiondoa yule mkuu wa polisi, ni Wakikuyu na Wakikuyu ni watu ambao ni wakabila na wao ndio hujiona ndio kama taifa teule la waisrael wa Kenya.Jamaa wamejipanga sana kuanzia Kibaki alipoutwaa uraisi kutoka kwa Moi,itachukua miaka mingi sana kwa raisi kutoka nje ya Wakikuyu,hawa Wakikuyu hata yule wa mashinani ambaye anashindia kunywa busaa anachotaka na anajali ni kuwa kabila lake ndio linatoa raisi hata kama hanufaiki chochote,nina marafiki zangu Wakenya na pia wengi wao ni Wakikuyu,daima husema wao hawatakubali raisi atoke nje ya kabila lao,linapokuja suala la kupiga kura hawa jamaa wana umoja na mpangilio na wanawezeshwa na matajiri kutoka kabila lao ,sidhani Mzee yule wa Citizen atarudia tena kuunga mtu ambaye sio Mkikuyu tena.Akina Njoroge,CK,Mati n.k kamwe hawawezi kukubali watu kama akina Ruto au Messi washike nchi.Wacha ndugu Kusema na Kutenda atakavyopata mshangao kutoka kwa Nyumba ya Mumbi
 
Mbona Moi alikuwa Rais. Sema Rais hawezi kuwa mjaluo au mluya au mkamba. Atakuwa mkalenjin au mkikuyu
 
Mbona Moi alikuwa Rais. Sema Rais hawezi kuwa mjaluo au mluya au mkamba. Atakuwa mkalenjin au mkikuyu
Kaka nafikiri hujanielewa nilichosema,nimesema kuanzia Kibaki achukue madaraka,sasa wewe unasema mbona Moi alichukua uraisi.Omba mungu uishi miaka mingi kama utaona huyo mkale mwenzenu kama atachukua uraisi baada ya UK,hapo ndio mtapata mshangao wa karne
 
Uhuru asingekuwa Rias kwa kura za wakikuyu pekeyake unless kamma unataka violence nyingine itokee. Mi mbongo hadithi za wakalenjin wapi na wapi mkuu
 
Uhuru asingekuwa Rias kwa kura za wakikuyu pekeyake unless kamma unataka violence nyingine itokee. Mi mbongo hadithi za wakalenjin wapi na wapi mkuu

Kuwa mbongo hakunizuia kujua mambo ya Wakale kaka, wewe mbona upo JF wakati ni ya wabongo,kaka unapoteza muda tu wako kwa kudhani Wakale watachukua uraisi tena sahau,kwanza angalia Rutto kesha anza kuwagawa Wakale kwa hiyo uchaguzi baada ya Uhuru mutakuwa hamko pamoja chini ya Ruto,halafu ulivyo mkabila eti nataka violence ingine kwa vipi kusema Ruto hatakuwa raisi ,wee acha siasa zako buure kabisa heh heh.Kwa taarifa mimi ni nusu Mkenya kaka babu zangu walihamia TZ miaka ilee na nimeishi na kufanya kazi Kenya ofisi zangu zikiwa Westlands .Mitaa ya Umoja,Buru ni mitaa yangu mazee bar kama Pynty pale Buru ilikuwa kijiwe changu.
 
We dogo vipi mbona unalazimisha mawazo yako ndo yawe sahihi. Grow up kid. Mi inanisaidia nini Rais wa Kenya akiwa mkikuyu au mkale? Tunabishana tu upuuzi. Inaonekana hata shule yako ndogo. Argument za kitoto eti mi nilizaliwa Kenya bla blah. So What?? Acha ujinga. Unadhani uanongea na mburula mwenzio. There is something called perspective au kwa kiswahili mtazamo. I am a great thinker. To me it is not about who is right or wrong but what is right. I don't use emotion to urge. I use analytical thinkingg. I am a thinking Man teh teh.
 
Kama analytical thinking ndio hiyo basi ngoja nikuache haupo kiwango changu mburula wewe.Lakini utake usitake Kales imekula kwenyu.
 
Back
Top Bottom