Vipi tour ya msanii wetu itakuwepo kweli?

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Hivi ile tour ya msanii wetu ambaye ni kipenzi cha watu aka king kiba itakuwepo kweli au zilikuwa kiki za msimu maana sioni mwamko au mapromoter wamelala mbele wanaogopa hasara maana nyimbo zenyewe mwisho chalinze
 

Next time usifungue uzi za kipuuzi kama hizi kama huna cha kupost soma zilizopo mkuu
 

Next time usifungue uzi za kipuuzi kama hizi kama huna cha kupost soma zilizopo mkuu
Mkuu hata venue tu hatujui, na mwezi wa pili tyari huwo ushafika kuna tour kweli apo ama janja janja tu
 
Unatangaza tour wakati hauna venue wala tarehe haieleweki ni lini. Huyu mhuni arudi kucheza soka mziki umemshinda
 
Asiishie Kupost Graphics Tu Matangazo, Ahakikishe Anapost Na Show Zote Atakazofanya, Mimi Ndo Nasubiri. Ali Kipenziii Cha Watuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…