Vipi tour ya msanii wetu itakuwepo kweli?

Vipi tour ya msanii wetu itakuwepo kweli?

Hivi ile tour ya msanii wetu ambaye ni kipenzi cha watu aka king kiba itakuwepo kweli au zilikuwa kiki za msimu maana sioni mwamko au mapromoter wamelala mbele wanaogopa hasara maana nyimbo zenyewe mwisho chalinze
Na mimi naulizia zile kolabo mbili moja na rick Ross nyingine na rihanna za diamond zinaachiwa lini??
 
Its not for funny coz mpk kapost kwa mitandao ya kijamii lkn domo hajawahi post akasema ana collable na rick rozy au rihanna
Ila domo alienda mpaka kwenye interview za radio kutangaza kuwa ana kolabo na rick rozy na rihanna tena ile radio ambayo mpaka raisi anapigaga simu...sa sjui kati ya anayetangaza redioni na anayetangaza instagram nani yupo for funny
 
Washaanza tutetemeka.

Huu Muziki sio wa Fella wala wa Babu Tale
 
Back
Top Bottom