Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa unatafuta ugomvi mm simoAtaishia kuimbia viti kama dodoma
Na mimi naulizia zile kolabo mbili moja na rick Ross nyingine na rihanna za diamond zinaachiwa lini??Hivi ile tour ya msanii wetu ambaye ni kipenzi cha watu aka king kiba itakuwepo kweli au zilikuwa kiki za msimu maana sioni mwamko au mapromoter wamelala mbele wanaogopa hasara maana nyimbo zenyewe mwisho chalinze
Izo zilikiwa speculation cyo real jus for funnyNa mimi naulizia zile kolabo mbili moja na rick Ross nyingine na rihanna za diamond zinaachiwa lini??
Sasa kama hizo zilikuwa just for funny kwanini na za huyoo mwingine zisiwe just for funnyIzo zilikiwa speculation cyo real jus for funny
Wewe una kipi Cha kujivunia kama zip kuwatomba madem WA kijijin..Achanen na Ali KibaUnatangaza tour wakati hauna venue wala tarehe haieleweki ni lini. Huyu mhuni arudi kucheza soka mziki umemshinda
Its not for funny coz mpk kapost kwa mitandao ya kijamii lkn domo hajawahi post akasema ana collable na rick rozy au rihannaSasa kama hizo zilikuwa just for funny kwanini na za huyoo mwingine zisiwe just for funny
Je ww una kipi cha kujivuniaWewe una kipi Cha kujivunia kama zip kuwatomba madem WA kijijin..Achanen na Ali Kiba
Sina wivu na mafanikio ya watu kama weweJe ww una kipi cha kujivunia
Ndo unachojivuniaSina wivu na mafanikio ya watu kama wewe
Ila domo alienda mpaka kwenye interview za radio kutangaza kuwa ana kolabo na rick rozy na rihanna tena ile radio ambayo mpaka raisi anapigaga simu...sa sjui kati ya anayetangaza redioni na anayetangaza instagram nani yupo for funnyIts not for funny coz mpk kapost kwa mitandao ya kijamii lkn domo hajawahi post akasema ana collable na rick rozy au rihanna
Siamini kama ndo uwezo wako wa kufikiria unakomea apoKama vile wivu na chuki unakusumbua
Mfano show yake imebuma itakusaidia nini? Acha roho ya mbaya iliyojaa chukiSiamini kama ndo uwezo wako wa kufikiria unakomea apo
Mm nimeuliza kama shabiki sasa nashangaa ww povu linavokutoka, nn tatzo?Mfano show yake imebuma itakusaidia nini? Acha roho ya mbaya iliyojaa chuki
Umemaliza mkuu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Sasa utaonaje mwamko wakati wewe upo Bongo na ile ni Europe tour....unadhani ile ni fiesta