Vipi ujenzi wa daraja la Agakhan mpaka Coco Beach umefikia wapi?

Kapilipoint

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
381
Reaction score
343
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?
 
Pesa tumepeleka kwenye kununua madiwani na wabunge wakisharudi kazini baada ya miaka 3 pesa yetu itarudi na ujenzi utaanza rasmi
 
Ww unawaza kutafuta nauli ukaangalie vidond a vya lisu lini utajua nchi inakwenda wapi

Ndio watanzania tumefikia hapa? Chuki ya kisiasa ndio imetufikisha hapa?
Halafu mbona unatumia maneno makali yenye kejeli kama ulihusika katika lile shambulio?

I better shut up!
 
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?
Pesa za mradi wame zi allocate Chato.
 
Daraja litakamilika mapema iwezekanavyo na kila kijiji kitapewa milioni 50 nchi nzima
 
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?

Yaani kweli na ww ulikubali?
Ukuta wa Mererani umeisha funguliwa?
 
Wadau mtakumbuka tuliambiwa ili kupunguza foleni barabara ya Ally Hassan Mwinyi litajengwa DARAJA kuanzia hospital ya AGAKHAN mpaka COCO BEACH.Je ujenzi huo utaanza lini?
Tender ilishatangazwa
 
Back
Top Bottom