NDOA YAKO IKO MATATANI PIAMimi jambo nililomuharibia rafiki yangu bado hajalisahau mpaka leo tumekuwa watu wazima,tukikutana huwa ananikumbushia.
Ilikuwa miaka ya 90 kwenye Mitihani ya Mock ya Kidato cha 2.
Tukiwa kwenye mtihani wa hesabu,yeye akiwa mbele yangu,nilimuomba anipatie mtihani wake nigelezee,maana mimi sikuwa vizuri kwenye hesabu.
Jamaa akanipatia kupitia chini ya kiti,baada ya msimamizi kuzubaa.
Bwana ndugu yenu nikacopy karatasi yote(ilikuwa karatasi ya kujibia zile plain).
Nilipomaliza nikajua ni rafu tu,kwahiyo sikumrudishia.
Baadae kidogo,msimamizi akatuamuru tusimame muda umeisha,kila mtu apange karatasi zake alizojibia na karatasi ya maswali ili yeye apite kuzibana.
Kwa hofu ya kuonekana nina karatasi nyingi,nikatafuna ile ya jamaa.
Sasa wakati msimamizi amekaribia kwa jamaa yangu,jamaa akanicheki na kunipa ishara nimpe karatasi yake.
Nikapagawa nikamjibu nimechana na kutafuna.. daaah aliumia akakusanya karatas yake moja tu aloyomalizia maswali sijui manne ya section C.
Majibu ya mtihani yakatoka nimefauru jamaa amefeli ana Mswaki wa hesabu, me nna B.
Dah.. tumekuwa watu wazima sasa ila huwa ananikumbusha . Inaniumizaga sanaa
πππDaah mwaneyuMimi jambo nililomuharibia rafiki yangu bado hajalisahau mpaka leo tumekuwa watu wazima,tukikutana huwa ananikumbushia.
Ilikuwa miaka ya 90 kwenye Mitihani ya Mock ya Kidato cha 2.
Tukiwa kwenye mtihani wa hesabu,yeye akiwa mbele yangu,nilimuomba anipatie mtihani wake nigelezee,maana mimi sikuwa vizuri kwenye hesabu.
Jamaa akanipatia kupitia chini ya kiti,baada ya msimamizi kuzubaa.
Bwana ndugu yenu nikacopy karatasi yote(ilikuwa karatasi ya kujibia zile plain).
Nilipomaliza nikajua ni rafu tu,kwahiyo sikumrudishia.
Baadae kidogo,msimamizi akatuamuru tusimame muda umeisha,kila mtu apange karatasi zake alizojibia na karatasi ya maswali ili yeye apite kuzibana.
Kwa hofu ya kuonekana nina karatasi nyingi,nikatafuna ile ya jamaa.
Sasa wakati msimamizi amekaribia kwa jamaa yangu,jamaa akanicheki na kunipa ishara nimpe karatasi yake.
Nikapagawa nikamjibu nimechana na kutafuna.. daaah aliumia akakusanya karatas yake moja tu aloyomalizia maswali sijui manne ya section C.
Majibu ya mtihani yakatoka nimefauru jamaa amefeli ana Mswaki wa hesabu, me nna B.
Dah.. tumekuwa watu wazima sasa ila huwa ananikumbusha . Inaniumizaga sanaa
Bahati mbaya mkuu.ππππDaah mwaneyu