Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

Vipi unahudhuriaga vikao au watakalopanga kwako ni sawa tu

Vikao vipo vingi, Hata vya wachawi vikao.

Kwahiyo kwenu wakipitisha uolewe na kibabu cha miaka 70 kwako ni sawa?
 
Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji). Hawa watu hawajawahi kufanikisha lolote kwenye mipango yao hivyo na mimi nimeacha kuhudhuria vikao vyao vya kipumbavu
 
Inategemea vikao vinahusu nini, ila ni muhimu kuhudhuria na kutoa maoni yako maana huwa wasioenda vikao ndio wa kwanza kuponda.
 
Nchi wanaume wamekuacha vikaoni mnatuma wakezenu wakija na gharama mkikaa vilabuni mnaanza oooo ,mtendaji mwizi na aina yake

MIMI nabaki kuwa mamba na sio kenge
 
Back
Top Bottom