Kwahy uko kwenu sumbawanga kila mpango unakamilika?Mimi ni mkaazi wa Tanga(muhamiaji). Hawa watu hawajawahi kufanikisha lolote kwenye mipango yao hivyo na mimi nimeacha kuhudhuria vikao vyao vya kipumbavu
Atoto Khan.....naamasteeee!!!!!!Vikao vyenyewe unakuta kiiila uchwao mipango tu, ila utekelezaji nehiii. Kwakweli sipendi vikao vya hivyo.
Mweeh! Ndio natakiwa kujibuje?Atoto Khan.....naamasteeee!!!!!!
Nijibu ki hindiππππππMweeh! Ndio natakiwa kujibuje?
Sikijui.Nijibu ki hindiππππππ
Wapi sasa!!
πππVikao vipo vingi, Hata vya wachawi vikao.
Kwahiyo kwenu wakipitisha uolewe na kibabu cha miaka 70 kwako ni sawa?