Vipi Unatongoza

Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

Hayo maneno gani ndio utaalam wenyewe, unacheza na saikolojia yake sio! lol
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

Hayo maneno mazuri na yanayopendeza mpaka kimwana akaingia tunduni ndiyo utaalamu wenyewe huo 😉, maana njemba nyingine haziwezi zikamwaga lugha hadi kimwana akaingia tunduni 🙂
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

...yataje basi ...🙂
 
...yataje basi ...🙂

Ha ha ha ha ha...labda kama anao huo utaalamu vinginevyo si rahisi kuyakumbuka lakini akiyasikia anajua yanapendeza 😉 na anaingia kwenye kitundu cha njemba mwenyewe tena bila hiyana 😉
 

WIZI MTUPU......but thanks for this anyway.

Estimated time: umesema mwezi mzima

Estimated money spent!?..........

Hapo unatafuta demu wa kumega faster faster au mke?
 
Bibie umependeza kweli kweli hilo gauni lako bag lako na viatu vyako vimekupendeza kweli na hizo nywele wee acha tu...Ahsante na smile juu 🙂 unaendelea taratibu kama unamuona anakupa muda wa kuendelea basi unaendelea kupiga ndogo ndogo 😉
 
Hmmm! Je, kama huna uwezo huo ndiyo unamkabidhi nini!?
Kwanza Unamcheck kwa mbali kama mnakutana njiani Kisha Unajifanya kama mnajuwana habari za siku? Akijibu ni kosa Unampa Vipi Umepotelea wapi? lazima atajiuliza mnajuliana Wapi akitaka kujuwa wewe ndio nani! unajifanya Kusikitika saana Kisha Unamuuliza ina maana leo umeshanisahau Haya Niambie unaelekea wapi? Kama Una Mchuma unatoa offer ya lift akikubali Lazima Uchukue number kama hana Kilongalonga Basi Unampatia B/C yako akupigie baadae Hapo unaweza kuanza kumtengeneza kilaaani Ukishindwa Mpe Kigari Chekundu,Ki RAV4
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.
Hayo ndio elimu yenyewe tunayoizinga as they say, it's not the size of the ship that matters - it's the motion of the ocean. We're here to get those waves rollin' ndio maana yake ,sasa ukisema yapo tu inakuwa haitoshagi yamwae hapa ,we are open to talk kidemokrasia.
 
Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
Kwani wewe hujawahi kutongozwa?
 
Nimevutiwa sana na mada hii kutokana na kutoelewa kwangu hali halisi inayowakabili Baadhi yetu ndani ya jamii. sijuwi neno gani nilitumie hapa litakalo elewesha wengine ,kwa upande wangu binafsi sijawahi kutongoza hata siku moja isipokuwa wasichana wananifuata mimi badala ya mimi kuwafata wao na hili hata wazazi wangu waliwahi kuniambia nikiwa pale mdogo ilikwa wasichana wa rika yangu hawatoki nyumbani kwetu sasa hapa niakubaliana na yule mtowa maoni aliyesema kuhusu chemistry au biology inawezekana zangu zina nguvu sana inapofika kwa wasichana.asanteni kwa mada hii leo ni moja kati ta siku muhimu sana kwani imenifanya nielewe kwa nini wasichana wamekuwa hawaachi kunisumbuwa siku zote
 
nyie vipi?
Mnafikiria mzee Lyumba kuwamega mademu wakali wakali ana maneno mataaaamu kunizidi mie?

demu wa siku hizi tembeza ngawira kwisha kazi yake......mfanyie shopping kwa sana,mkabidhi pesa taslimu,mnunulie gari......ushamroga..

....kutongozana ilikuwa zamani siku hizi hata demu ukimtongoza anakucheka......
 

Mi nilishasema tangu mwanzo. Katika dunia ya sasa ya utandawazi, ukimwi, ufisadi etc, demu gani utaanza kumtongoza....labda wale kuku wa kienyezi huko misenyi, kasulu etc.

Unless unataka kuoa lkn otherwise ni nipe nikupe
 
Kutongoza hakuna formula, unatakiwa uwe na confidence na smile vingine go with the flow, Ukiwa domo zege well try the old fashion way andika kinote ila usianze na mambo ya I love you or I really like you a lot.
 


Kule kwenu Kinyelezi wewe hufanyaje?
 
Hauna tabia za kike lakini?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…