Vipi Unatongoza

Vipi Unatongoza

Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

Hayo maneno gani ndio utaalam wenyewe, unacheza na saikolojia yake sio! lol
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

Hayo maneno mazuri na yanayopendeza mpaka kimwana akaingia tunduni ndiyo utaalamu wenyewe huo 😉, maana njemba nyingine haziwezi zikamwaga lugha hadi kimwana akaingia tunduni 🙂
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.

...yataje basi ...🙂
 
...yataje basi ...🙂

Ha ha ha ha ha...labda kama anao huo utaalamu vinginevyo si rahisi kuyakumbuka lakini akiyasikia anajua yanapendeza 😉 na anaingia kwenye kitundu cha njemba mwenyewe tena bila hiyana 😉
 
Mtaani na kazini simple (itakuchukua kama mwezi mmoja hivi kama hakuna chemistry)
*Jitambulishe ili mfahamiane
*Hakikisha mnaonana mara nyingi (unajidai accidendally kumbe ni mbinu zako)
*Msemeshe kila mkionana na uwe unamsifia
*Usichukulie mambo serious sana, inabidi ufanye jitihada kuwe kama na "kautani flani" kati yako na yeye
*Kisha "unamtania" (unajidai utani, kumbe moyoni uko serious) unataka kumpeleka lunch, outing ama kitu kama hicho
*Hapo mtakuwa kwenye kubadilishana namba za simu
*Mpige message mara kwa mara, kama anajibu (angalia usitume message nyingi kama hajibu)
*mpige vizawadi vya mara kwa mara - hata chewing gum au pipi! (Kutongoza sometimes inabidi ujifanye Mseng.e ili ufanikiwe). lol
*Akikubali outing, una-introduce issue kuwa ulishakufa kwake bado kuoza tu
*Endelea kuwa karibu naye na kumshawishi.
*Outing ya pili mpitie kwako kabla hujamrudisha home kwake, jidai kuna kitu muhimu lazima u-drop au ufanye; akiingia ndani - usifanye kosa, mademu bongo sitaki nataka na first time inaweza ikawa hivyo, akigoma sana unaacha, hatari ni kwamba kama hajawa impressed na unapoishi na ukamkosakosa ndio imetoka, kwa hiyo juu yako hapo.
*Etimated time kwa mambo yote haya, 1 month.
*NB: Demu yeyote anachukulika (awe maskini, tajiri, mrembo, msomi, whatever), ni ku-persist tu mpaka a-give in.

Kwenye party - ni kujitambulisha, kupiga stori kidogo na kujitahidi upate namba ya simu utaendelea baada ya hapo; otherwise demu awe mapepe na wewe ujidai pedejee.

Club kabisaaa, ndio hakuna kingine zaidi ya hela yako ya vinywaji na kuonyesha upedejee!

Nadhani umepata mwanga kidogo ... lol

WIZI MTUPU......but thanks for this anyway.

Estimated time: umesema mwezi mzima

Estimated money spent!?..........

Hapo unatafuta demu wa kumega faster faster au mke?
 
Bibie umependeza kweli kweli hilo gauni lako bag lako na viatu vyako vimekupendeza kweli na hizo nywele wee acha tu...Ahsante na smile juu 🙂 unaendelea taratibu kama unamuona anakupa muda wa kuendelea basi unaendelea kupiga ndogo ndogo 😉
 
Hmmm! Je, kama huna uwezo huo ndiyo unamkabidhi nini!?
Kwanza Unamcheck kwa mbali kama mnakutana njiani Kisha Unajifanya kama mnajuwana habari za siku? Akijibu ni kosa Unampa Vipi Umepotelea wapi? lazima atajiuliza mnajuliana Wapi akitaka kujuwa wewe ndio nani! unajifanya Kusikitika saana Kisha Unamuuliza ina maana leo umeshanisahau Haya Niambie unaelekea wapi? Kama Una Mchuma unatoa offer ya lift akikubali Lazima Uchukue number kama hana Kilongalonga Basi Unampatia B/C yako akupigie baadae Hapo unaweza kuanza kumtengeneza kilaaani Ukishindwa Mpe Kigari Chekundu,Ki RAV4
 
Hakuna utaalamu wa kutongoza, ila maneno gani unaongea kwa binti. Kuna wanaume wana maneno mazuri na yanapendeza, sio maneno ya uongo.
Hayo ndio elimu yenyewe tunayoizinga as they say, it's not the size of the ship that matters - it's the motion of the ocean. We're here to get those waves rollin' ndio maana yake ,sasa ukisema yapo tu inakuwa haitoshagi yamwae hapa ,we are open to talk kidemokrasia.
 
Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
Kwani wewe hujawahi kutongozwa?
 
Nimevutiwa sana na mada hii kutokana na kutoelewa kwangu hali halisi inayowakabili Baadhi yetu ndani ya jamii. sijuwi neno gani nilitumie hapa litakalo elewesha wengine ,kwa upande wangu binafsi sijawahi kutongoza hata siku moja isipokuwa wasichana wananifuata mimi badala ya mimi kuwafata wao na hili hata wazazi wangu waliwahi kuniambia nikiwa pale mdogo ilikwa wasichana wa rika yangu hawatoki nyumbani kwetu sasa hapa niakubaliana na yule mtowa maoni aliyesema kuhusu chemistry au biology inawezekana zangu zina nguvu sana inapofika kwa wasichana.asanteni kwa mada hii leo ni moja kati ta siku muhimu sana kwani imenifanya nielewe kwa nini wasichana wamekuwa hawaachi kunisumbuwa siku zote
 
nyie vipi?
Mnafikiria mzee Lyumba kuwamega mademu wakali wakali ana maneno mataaaamu kunizidi mie?

demu wa siku hizi tembeza ngawira kwisha kazi yake......mfanyie shopping kwa sana,mkabidhi pesa taslimu,mnunulie gari......ushamroga..

....kutongozana ilikuwa zamani siku hizi hata demu ukimtongoza anakucheka......
 
Mi nilishasema tangu mwanzo. Katika dunia ya sasa ya utandawazi, ukimwi, ufisadi etc, demu gani utaanza kumtongoza....labda wale kuku wa kienyezi huko misenyi, kasulu etc.

Unless unataka kuoa lkn otherwise ni nipe nikupe
 
Kutongoza hakuna formula, unatakiwa uwe na confidence na smile vingine go with the flow, Ukiwa domo zege well try the old fashion way andika kinote ila usianze na mambo ya I love you or I really like you a lot.
 
nyie vipi?
Mnafikiria mzee Lyumba kuwamega mademu wakali wakali ana maneno mataaaamu kunizidi mie?

demu wa siku hizi tembeza ngawira kwisha kazi yake......mfanyie shopping kwa sana,mkabidhi pesa taslimu,mnunulie gari......ushamroga..

....kutongozana ilikuwa zamani siku hizi hata demu ukimtongoza anakucheka......

Kule kwenu Kinyelezi wewe hufanyaje?
 
Nimevutiwa sana na mada hii kutokana na kutoelewa kwangu hali halisi inayowakabili Baadhi yetu ndani ya jamii. sijuwi neno gani nilitumie hapa litakalo elewesha wengine ,kwa upande wangu binafsi sijawahi kutongoza hata siku moja isipokuwa wasichana wananifuata mimi badala ya mimi kuwafata wao na hili hata wazazi wangu waliwahi kuniambia nikiwa pale mdogo ilikwa wasichana wa rika yangu hawatoki nyumbani kwetu sasa hapa niakubaliana na yule mtowa maoni aliyesema kuhusu chemistry au biology inawezekana zangu zina nguvu sana inapofika kwa wasichana.asanteni kwa mada hii leo ni moja kati ta siku muhimu sana kwani imenifanya nielewe kwa nini wasichana wamekuwa hawaachi kunisumbuwa siku zote
Hauna tabia za kike lakini?
 
...yataje basi ...🙂[/Q
kuna vitu wanaume inabidi mjue. Sio kujiongelea tu.
-make eye contact ( hii itamfanya binti aone upo confident man)
-slight smile, angalau basi uweke tabasamu angalau uonekane upo serious na unampenda kweli.
-Positive body language ( don't be nervous)
-muulize maswali maswali ( what u don't know yet) like anapenda nn, hapendi nn, anapenda mume wa namna gani.
hizi ni baadhi ya mbinu lkn zipo nyingi tu. ILa usijaribu kuweka uongo. manake wanaume kwa kuongopa hamjambo.
 
Back
Top Bottom