Vipi utafiti kama huu wa vichaa ulifanyika Kenya?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ripoti imeibuka kwa hawa watani zetu wa kusini kwamba, kwa kila Watanzania wanne, mmoja kati ya ana kichaa. Bila shaka wengi wa hivyo wapo humu JF wanatuzingua sana kila siku kwa kujibu jibu kila mada za Kikenya kwa kauli za ajabu ajabu.

Najua hata Kenya utafiti kama huu ulifanyika na sikumbuki vichaa tulitajwa wangapi. Mwenye taarifa naomba ashushe humu.

chizi.jpg
 
Naona hamuachi kutuwaza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Jirani yako lazima umuwaze kila ukiamka maana akichizika ghafla itakula kwako pia.
Haina umuhimu nihangaike kuwaza Wanigeria, inabidi niwajulie hali Wasomali, Wahabeshi, Wasudani, Waganda na Watanzania maana hao ndio wamenizunguka. Hivyo, afya njema kwa jirani ni faraja kwangu mimi pia.
 
Ripoti imeibuka kwa hawa watani zetu wa kusini kwamba, kwa kila Watanzania wanne, mmoja kati ya ana kichaa. Bila shaka wengi wa hivyo wapo humu JF wanatuzingua sana kila siku kwa kujibu jibu kila mada za Kikenya kwa kauli za ajabu ajabu.

Najua hata Kenya utafiti kama huu ulifanyika na sikumbuki vichaa tulitajwa wangapi. Mwenye taarifa naomba ashushe humu.

chizi.jpg
Vichaa ni BAVICHA, wapo wengi tu humu!
 
Jirani yako lazima umuwaze kila ukiamka maana akichizika ghafla itakula kwako pia.
Haina umuhimu nihangaike kuwaza Wanigeria, inabidi niwajulie hali Wasomali, Wahabeshi, Wasudani, Waganda na Watanzania maana hao ndio wamenizunguka. Hivyo, afya njema kwa jirani ni faraja kwangu mimi pia.
Sisi ni vichaa kweli kweli atujalibiwi pita mbali nasi kama ujui uliza EPA
 
Kwa hili la ukichaa nadhani sample ya huu utafiti ilifanyika pale rumumba...maana hawa jamaa ni kweli wengi wao ni vichaa.
 
Ripoti imeibuka kwa hawa watani zetu wa kusini kwamba, kwa kila Watanzania wanne, mmoja kati ya ana kichaa. Bila shaka wengi wa hivyo wapo humu JF wanatuzingua sana kila siku kwa kujibu jibu kila mada za Kikenya kwa kauli za ajabu ajabu.

Najua hata Kenya utafiti kama huu ulifanyika na sikumbuki vichaa tulitajwa wangapi. Mwenye taarifa naomba ashushe humu.

chizi.jpg

I guess this explains some of the dim-witted comments we get on this forum from the likes of Geza et al! So it’s all a matter of being mentally challenged
 
Ripoti imeibuka kwa hawa watani zetu wa kusini kwamba, kwa kila Watanzania wanne, mmoja kati ya ana kichaa. Bila shaka wengi wa hivyo wapo humu JF wanatuzingua sana kila siku kwa kujibu jibu kila mada za Kikenya kwa kauli za ajabu ajabu.

Najua hata Kenya utafiti kama huu ulifanyika na sikumbuki vichaa tulitajwa wangapi. Mwenye taarifa naomba ashushe humu.

chizi.jpg
Hii kitu nadhani huko ke itakuwa 6/10, maana nyie majamaa kwa vituko vya hapa na pale ni dhahiri mpo wengi mno[emoji3] [emoji3]
 
Miaka 40 plus ya propaganda za CCM kuelekezwa kwa watanzania lazima kichaa kitapanda tu, hamna namna.
 
Hii kitu nadhani huko ke itakuwa 6/10, maana nyie majamaa kwa vituko vya hapa na pale ni dhahiri mpo wengi mno[emoji3] [emoji3]

Hehehe!! Hususan wewe kamanda hukosi kwenye hiyo daftari, maana huwa unaibuka na majibu yasiyokwendana na mada husika mara nyingi sana....
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Boss umesahau vile huwa unatoa comment humu hadi tunabaki midomo wazi,
Let me assume huwa unakuwa umepiga vyombo.
Na huko ke mnavyotafuna mirungi nakunusa glue mwishowe mnabaka kuku na punda na mbuzi 6/10 won't be a surprise.
 
Duh...
 
Quarter of Kenyans suffering from mental disorders
A quarter of the Kenyan population suffers from some form of mental illnesses that is not taken seriously and are more often discriminated against.
Up to 40 per cent of in-patients in health centres and another 25 per cent of out-patients suffer from mental conditions, a policy report released Tuesday by the Ministry of Health shows. This translates to one in every four Kenyans.

Health Secretary Cleopa Mailu said many of these cases go unnoticed by health workers because most of the patients do not know how to express themselves well.

“Most people go to hospitals with hapa hapa syndrome – explanations that cannot be understood and they are left to go; this shows low level of awareness on mental health, which most turn out to be serious cases,” said Dr Mailu.

The Health CS was speaking during the launch of Kenya Mental Health Policy (2015-2030) document in Nairobi.

He said mental health should take centre-stage of health delivery since it is a determinant of overall health and socio-economic development.

Mental health is described as a state of well-being where individuals recognise their abilities, are able to cope with normal stresses of life, and work productively to make a contribution to their communities.

Ninety per cent of the one million suicides globally are associated with some form of mental disorder, namely stress, depression, bipolar, schizophrenia.

Dr Mailu said that the Ministry will budget for financial resources to bridge the current huge mental health gap, infrastructure for mental health, building capacity and competencies of the workforce for mental health.
 
11mn Kenyans suffer mental disorder - WHO - Capital News
NAIROBI, Kenya, August 6 – Over 11 million Kenyans are currently suffering from some sort of mental disorder, according to a study done by the World Health Organisation.
The study has attributed the problem to lack of proper plans to deal with the illness properly and insufficient treatment.

To tackle the problem, stakeholders in the health sector are advocating for the integration of mental medical facilities in both public and private hospitals.

Director of Mental Health Ministry of Health, Davis Kiima says mental disorders should not be ignored and should be taken seriously seeing that the illness contributes significantly to the increase of poverty levels in the country.

“Mental health and mental disorders have been neglected in the world over and the reason being it is ill understood. Mental health is something each one of us requires. It adds value to our living in terms of decision making and in terms of relationship and this is why Kenya has formulated its first mental health policy,” he said.

“People with mental disorders that are not recognised actually do not go to work so there is lack of productivity because of sickness. And majority of Kenyans are suffering from minor mental illnesses which include depression and anxiety. Each time you hear someone has committed suicide, majority of them have been suffering from minor mental illness and they did not recognise and if they did they where unable to sick help.”

Program Officer Mental Health and Tobacco Control at the World Health Organisation Joyce Nato says mental disorders are the leading cause of ill health and deaths worldwide having 65 percent of deaths caused by this disorder.

Nato says the importance of mental health conditions should be prioritised and policies should be implemented by all governments.

“If the mental health policy is in place then it is easier for the governments to then prioritise these conditions. We all require good mental health but unfortunately when we talk of mental health many people see mental disorders. The policy will mainly focus on how Kenyans can achieve and have good mental health and those who have disorders they can be managed effectively,” she said.
 
Quarter of Kenyans suffering from mental disorders
A quarter of the Kenyan population suffers from some form of mental illnesses that is not taken seriously and are more often discriminated against.
Up to 40 per cent of in-patients in health centres and another 25 per cent of out-patients suffer from mental conditions, a policy report released Tuesday by the Ministry of Health shows. This translates to one in every four Kenyans.

Health Secretary Cleopa Mailu said many of these cases go unnoticed by health workers because most of the patients do not know how to express themselves well.

“Most people go to hospitals with hapa hapa syndrome – explanations that cannot be understood and they are left to go; this shows low level of awareness on mental health, which most turn out to be serious cases,” said Dr Mailu.

The Health CS was speaking during the launch of Kenya Mental Health Policy (2015-2030) document in Nairobi.

He said mental health should take centre-stage of health delivery since it is a determinant of overall health and socio-economic development.

Mental health is described as a state of well-being where individuals recognise their abilities, are able to cope with normal stresses of life, and work productively to make a contribution to their communities.

Ninety per cent of the one million suicides globally are associated with some form of mental disorder, namely stress, depression, bipolar, schizophrenia.

Dr Mailu said that the Ministry will budget for financial resources to bridge the current huge mental health gap, infrastructure for mental health, building capacity and competencies of the workforce for mental health.

Aha! Kumbe robo, yaani mmoja kati ya wanne, mimi nilijua tutakua 6/10... Yaani kumbe hata tupo vichaa wachache zaidi ya Bongo.
 
Back
Top Bottom