Kumbe kuna VPN za kulipiaHzi za free ni majanga kweli, labda za kulipia vifurushi
Nyingi za uhakika ni za kulipiaKumbe kuna VPN za kulipia
Yah na ndio zinatinga freehKumbe kuna VPN za kulipia
Download thunder vpn ni ya bure
Download thunder vpn ni ya bure kabisa
Mimi ninayo ila nashindwa kuunganisha mkuu, Bado Whatsapp haifunguki
Ninayo ya kulipia lakini hai connectHzi za free ni majanga kweli, labda za kulipia vifurushi
Kwa wale wanaotumia Iphone nadhan wanafaida kwa eneo hili. Sie wa android na free vpn aisee ni shid
Ninayo hiiNinazo mbili, Windscribe na Secure.
Kwa Sasa Secure VPN ndiyo inafanya kazi, hiyo Windscribe imegoma.
Hebu nitoe ushamba, wa iphone wana faidi kivipi, nina iphone moja hapa ya urithi, nateseka nayo, natumia vpnproxymaster kuna muda fresh, mara ikate yaani ni zingzong tuKwa wale wanaotumia Iphone nadhan wanafaida kwa eneo hili. Sie wa android na free vpn aisee ni shida.
... mbona unachekesha?Ninazo vpn mbili tofauti lakini toka jana mtandao uliporudi sijafanikiwa ku connect. wenzangu mnatumia vpn gani kuperuzi Instagram, Whatsup na Tiktok?
Unatumia Iphone gani?Hebu nitoe ushamba, wa iphone wana faidi kivipi, nina iphone moja hapa ya urithi, nateseka nayo, natumia vpnproxymaster kuna muda fresh, mara ikate yaani ni zingzong tu