Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nisaidieni jama ni miaka saba sasa naspend holydei zangu hapa dar lakini sijawahi kufika CHUONI IFM na nimepangiwa hapo:help:
nisaidieni jama ni miaka saba sasa naspend holydei zangu hapa dar lakini sijawahi kufika CHUONI IFM na nimepangiwa hapo:help:
iFM iko mkoan mtwara na pale kuna hostel nyingi tu utapata, na cha kufurahisha zaid hostel humo mnachanganywa wanawake na wanaume!
Acha wehu wewe, watu wapo serious unaleta utani usio na msingi, jiheshimu m2 mzima wewe.. Huo ni mtazamo wangu tu
Karbu ifm...hostel za chuo zpo,bt ni za kuwahi.mana demand ni kubwa na nafas ni chache.! Andaa Tshs 425,000/=!.. Kuna private hostels K'gmbn,wana weng tu wanaish kule..!!
hahahaha umetisha unataka tuje kuwasaidia kupigania gesi mtwara au?sipajui lakini hapo umenipoteza