vipi wakuu IFM hostel zipo?

vipi wakuu IFM hostel zipo?

donMramba

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
42
nisaidieni jama ni miaka saba sasa naspend holydei zangu hapa dar lakini sijawahi kufika CHUONI IFM na nimepangiwa hapo:help:
 
Karbu ifm...hostel za chuo zpo,bt ni za kuwahi.mana demand ni kubwa na nafas ni chache.! Andaa Tshs 425,000/=!.. Kuna private hostels K'gmbn,wana weng tu wanaish kule..!!
 
iFM iko mkoan mtwara na pale kuna hostel nyingi tu utapata, na cha kufurahisha zaid hostel humo mnachanganywa wanawake na wanaume!
 
Acha wehu wewe, watu wapo serious unaleta utani usio na msingi, jiheshimu m2 mzima wewe.. Huo ni mtazamo wangu tu
 
we kijana swala la kuspend likizo zako halituusu we uliza utakaloooo bac
 
Karbu ifm...hostel za chuo zpo,bt ni za kuwahi.mana demand ni kubwa na nafas ni chache.! Andaa Tshs 425,000/=!.. Kuna private hostels K'gmbn,wana weng tu wanaish kule..!!

DAAAH mbona ni kiasi kikubwa cha fedha ivo hiyo yote ni kwa mwaka au??na je kuwahi means nije kabla ya tarehe watakayosema au
 
iFM iko mkoan mtwara na pale kuna hostel nyingi tu utapata, na cha kufurahisha zaid hostel humo mnachanganywa wanawake na wanaume!

hahahaha umetisha unataka tuje kuwasaidia kupigania gesi mtwara au?sipajui lakini hapo umenipoteza
 
Back
Top Bottom