Vipi wazee wenzagu wa Man U, tutatoboa kweli bila ya kusajili midfielder mpya maana kati kati pamemwaya sana

Vipi wazee wenzagu wa Man U, tutatoboa kweli bila ya kusajili midfielder mpya maana kati kati pamemwaya sana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Bruno ni 10 hio 8 haiwezi

Ugarte ndio kashakuwa chizi.

Casemiro miguu ishakuwa mizito

Mainoo anakimbia kama amefungwa mawe mgongoni.

Dirisha linafungwa saa nne kamili usiku na sioni dalili ya kiungo mpya.
 
Back
Top Bottom