Vipi zimeshukaaa???

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Wakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo..
Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii

Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo

Mwenye namba zao atusaidie
 
Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
 
Sijui kuhusu hizo kushuka, lakini kama umepita petrol station asubuhi una cha kutuambia!!!!
 
Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
Nasubiri mrejeshoo
 
Wakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo..
Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii

Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo

Mwenye namba zao atusaidie
Wanaopunguza Bei nice serikali means Kodi Sasa Bei mpya itakuwa kwa wale wauzaji wakubwa then wenyewe wakikuta punguza Basi wanawapunguzia ma wholesaler ndo baadae zikishaingia kwa wauzaji wa jumla zinauzwa kwa Bei elekezi ila bado bado mpk mzigo ulipo ikate..ila kwa dar mnaweza kufaidi Bei mpya weekend hii
 
Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
We're ouchea waiting for that reduction,🤣🤣🤣
 
Habari njema sana hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…