Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]Wakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo..
Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii
Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo
Mwenye namba zao atusaidie
Kilinge kimerudi tena?Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
Hapana kulikuwa na dharura niligawa mikoba ardhi bado ipo.. Sasa inasumbua majiraniKilinge kimerudi tena?
Mikoba si umeshaigawa??
Vipi hukoo bei zipo je?Subir wanakuja mkuu
Nasubiri mrejeshooNilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
Kwa hiyo tumechezewa chezooBado
Wanaopunguza Bei nice serikali means Kodi Sasa Bei mpya itakuwa kwa wale wauzaji wakubwa then wenyewe wakikuta punguza Basi wanawapunguzia ma wholesaler ndo baadae zikishaingia kwa wauzaji wa jumla zinauzwa kwa Bei elekezi ila bado bado mpk mzigo ulipo ikate..ila kwa dar mnaweza kufaidi Bei mpya weekend hiiWakuu jana sijalala kabisa kuisubiri hii siku ya leo..
Nauliza zimeshukaaa?? Nikiwa na ten napiga 10 kweliiii
Mshana Jr hujauliza huko, nipo barabarani magari yao hayapitii kabisa leo
Mwenye namba zao atusaidie
Hali ni mbaya sanaSijui kuhusu hizo kushuka, lakini kama umepita petrol station asubuhi una cha kutuambia!!!!
We're ouchea waiting for that reduction,🤣🤣🤣Nilikuwa kilingeni aisee hebu ngoja nione[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji817][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322][emoji322]
Habari njema sana hiziWanaopunguza Bei nice serikali means Kodi Sasa Bei mpya itakuwa kwa wale wauzaji wakubwa then wenyewe wakikuta punguza Basi wanawapunguzia ma wholesaler ndo baadae zikishaingia kwa wauzaji wa jumla zinauzwa kwa Bei elekezi ila bado bado mpk mzigo ulipo ikate..ila kwa dar mnaweza kufaidi Bei mpya weekend hii
Mingi sana...ngoja tuwe wavumilivuBado, tupe miezi miwili tunauza stock tuliyochukua jana kwa bei ile ile
Shida wese limepandaWe're ouchea waiting for that reduction,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi hukoo bei zipo je?