muganzi wa muganzi
New Member
- Jan 11, 2015
- 1
- 1
Jina naitwaituaga muganzi mi ni msanii na pia malenga Nilianzia usanii shule na bado naendeleaniko kwenye ukumbi wa kenya national theatrehapa kunawasanii wengi waigizaji na wanasarakasi nilipata mafunzo hapa jinsi ya kua muigizaji hodarifanii ya sanaa imeanza kutabulika wasanii sasa wanajimuduukumbi wa knt sasa unafanyiwa marekebisho tukijitayarisha kuingia katika mfumo wa digitali