Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi.

Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya:

Mwaka 2019:
• TP Mazembe 8-0 Club Africain

Mwaka 2023:
• Simba SC 7-0 Horoya AC

Mwaka 2001:
• ASEC Mimosas 7-0 CR Belouizdad

Mwaka 1998:
• Raja Casablanca 6-0 Young Africans

Mwaka 2004:
• Enyimba FC 6-0 Nyasa Big Bullets

Mwaka 2024:
• Simba SC 6-0 Galaxy FC

Mwaka 2025:
• CR Belouizdad 6-0 Stade D’Abidjan
• Pyramids 6-0 Djoliba AC

IMG_2585.jpeg
 
Simba anaongoza kwa kutoa dozi nzito wenzetu wao wanaongoza kwa kuguswa na kuachia kwa kushindiliwa haswa naona 6 hapo waliachia

Na bora hawajapita wangetoboa ingekuwa historia tena ya kushindiliwa hata 7
 
Back
Top Bottom