Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Jan 19, 2025 #1 Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: • Simba SC 7-0 Horoya AC Mwaka 2001: • ASEC Mimosas 7-0 CR Belouizdad Mwaka 1998: • Raja Casablanca 6-0 Young Africans Mwaka 2004: • Enyimba FC 6-0 Nyasa Big Bullets Mwaka 2024: • Simba SC 6-0 Galaxy FC Mwaka 2025: • CR Belouizdad 6-0 Stade D’Abidjan • Pyramids 6-0 Djoliba AC
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: • Simba SC 7-0 Horoya AC Mwaka 2001: • ASEC Mimosas 7-0 CR Belouizdad Mwaka 1998: • Raja Casablanca 6-0 Young Africans Mwaka 2004: • Enyimba FC 6-0 Nyasa Big Bullets Mwaka 2024: • Simba SC 6-0 Galaxy FC Mwaka 2025: • CR Belouizdad 6-0 Stade D’Abidjan • Pyramids 6-0 Djoliba AC
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Jan 19, 2025 #2 Simba tunaongoza kwa kutoa vichapo vikubwa kwenye cafcl group stage tumefanya hivo mara 2.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jan 19, 2025 #3 Simba,baba,lao kwny hizi engo
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,350 Reaction score 15,426 Jan 19, 2025 #4 Simba anaongoza kwa kutoa dozi nzito wenzetu wao wanaongoza kwa kuguswa na kuachia kwa kushindiliwa haswa naona 6 hapo waliachia Na bora hawajapita wangetoboa ingekuwa historia tena ya kushindiliwa hata 7
Simba anaongoza kwa kutoa dozi nzito wenzetu wao wanaongoza kwa kuguswa na kuachia kwa kushindiliwa haswa naona 6 hapo waliachia Na bora hawajapita wangetoboa ingekuwa historia tena ya kushindiliwa hata 7
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 19, 2025 #5 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw