Vipigo vya Simba huwa vinauma mno kwani huwa wanapigwa na timu wasioitarajia na wakati muhimu unaotakiwa washinde.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Simba huwa hawafungwi mara kwa mara lakin wakifungwa hufungwa na timu wasioitarajia tena kipindi muhimu wapohitaji sn ushindi.( mechi ya Do or Die). Simba ya mwaka 1993 ikiingia fainali ya kombe la CUF ilianzia ugenini Ivory Coast na kutoka suruhu na Stella Abidjan,wakaanza kuandaa sherehe kabla ya mechi wakamwalika mzee mwinyi kuwa mgeni rasmi,mwisho wa siku wakafa 2:0 Mwinyi akakabidhi kombe kwa wageni.Mechi na Greenworriers walicheza kwa kujiamni sn mwisho wa siku wakachapwa na kutolewa Azam Conf.Cup. Waliumia balaa mpaka wakamtimua kocha. Story ikajirudia tena kwa Mashujaa.Wakaja Kagera mechi ya mwisho kabsa ya ligi wakikabidhiwa ubingwa wao uwanja wa taifa huku Mh.Magufuli akiwa mgeni rasmi Simba wakitafta rekodi ya kumaliza ligi bila kufungwa Kagera wakawatobolewa mbele ya Raisi. Kipigo cha jana mi muendelezo wa vipigo vinavyouma zaidi kuendelea kuwakumba Simba. Poleni sn mashabiki waliolia kilio cha kwi kwi jana japo wengine walienda kulilia chooni na vichocholoni. This is...........Simbaaaaaa!!!
 
Na ile ya Libolo FC ya Angola.
 
Lakini hili si kwa Simba tu. Ndivyo ilivyo kwa timu yoyote inayodumu kwenye mashindano kwa muda mrefu. Labda hili la Simba na Yanga linakuwa linakumbukwa zaidi kwa sababu ya utani wa timu mbili hizi.
 
Back
Top Bottom