Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Simba huwa hawafungwi mara kwa mara lakin wakifungwa hufungwa na timu wasioitarajia tena kipindi muhimu wapohitaji sn ushindi.( mechi ya Do or Die). Simba ya mwaka 1993 ikiingia fainali ya kombe la CUF ilianzia ugenini Ivory Coast na kutoka suruhu na Stella Abidjan,wakaanza kuandaa sherehe kabla ya mechi wakamwalika mzee mwinyi kuwa mgeni rasmi,mwisho wa siku wakafa 2:0 Mwinyi akakabidhi kombe kwa wageni.Mechi na Greenworriers walicheza kwa kujiamni sn mwisho wa siku wakachapwa na kutolewa Azam Conf.Cup. Waliumia balaa mpaka wakamtimua kocha. Story ikajirudia tena kwa Mashujaa.Wakaja Kagera mechi ya mwisho kabsa ya ligi wakikabidhiwa ubingwa wao uwanja wa taifa huku Mh.Magufuli akiwa mgeni rasmi Simba wakitafta rekodi ya kumaliza ligi bila kufungwa Kagera wakawatobolewa mbele ya Raisi. Kipigo cha jana mi muendelezo wa vipigo vinavyouma zaidi kuendelea kuwakumba Simba. Poleni sn mashabiki waliolia kilio cha kwi kwi jana japo wengine walienda kulilia chooni na vichocholoni. This is...........Simbaaaaaa!!!