Vipigo vya Simba kwa Ruvu shooting

Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha.
 
Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!

Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
 
Attachments

  • FB_IMG_1668918174577.jpg
    77 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1667494492586.jpg
    30.8 KB · Views: 2
Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!

Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
Tunaamua kuwapuuza kwani ukijibishana na mwehu nawe utaonekana mwehu
 
Kwa hiyo hizo timu zote ulizozitaja hapo juu, ndiyo timu kubwa Afrika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…