Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuambiana tuTatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha.
Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha.
Mbumbumbu hawana akili kabisa [emoji23]Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!
Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
Weka na picha ya UTOPOLO alivyopigwa zile 5-0, na 4-1 kutoka kwa mnyama Simba.
Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!
Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
Tunaamua kuwapuuza kwani ukijibishana na mwehu nawe utaonekana mwehuKuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing!
Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?