Ni kweli coz hata kama huna hiv ila una magonjwa mengine makubwa inaweza soma positive ila wakienda kuconfirm kwenye unigold kama ni kweli una hiv unigold itaonyesha. So unigold ndio ipo more accurate haina longolongo.
Wakuu nasikia kuna hivi vipimo vipya ya alere determine viko accurate kwa kiasi gani?
Mkuu
Fafanua Vizuri Sijakuelewa Hiyo Unigold Nini?
Ni kweli coz hata kama huna hiv ila una magonjwa mengine makubwa inaweza soma positive ila wakienda kuconfirm kwenye unigold kama ni kweli una hiv unigold itaonyesha. So unigold ndio ipo more accurate haina longolongo.
yani humu ukiuliza kitu kuhusiana na ukimwi unaonekana mzinzi duu!hi kali nahitaji elimu tu hamna la ziada
kujua afya muhimu mkuu kwani hulijui hlo