Vipimo vipya vya UKIMWI

Vipimo vipya vya UKIMWI

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Wakuu nasikia kuna hivi vipimo vipya ya ALERE determine viko accurate kwa kiasi gani?
 
Wakuu nasikia kuna hivi vipimo vipya ya alere determine,hivi vipimo viko accurate kwa kiasi gani?
Nawasilisha
 
Viko accurate mno, vipi huviamini sbbu ya majibu vilivyokupatia???
 
Ni kweli coz hata kama huna hiv ila una magonjwa mengine makubwa inaweza soma positive ila wakienda kuconfirm kwenye unigold kama ni kweli una hiv unigold itaonyesha. So unigold ndio ipo more accurate haina longolongo.
 
Mkuu
Fafanua Vizuri Sijakuelewa Hiyo Unigold Nini?
 
wee kapime tu? Kwani unahitaji kujua accuracy ya thermometer ya daktari kupima joto la mwili wako?
 
Unataka kupima ukimwi hadi leo hii?
Sababu zako ni zipi?
 
Mkuu
Fafanua Vizuri Sijakuelewa Hiyo Unigold Nini?

Unigold ni kipimo kinachodhibitisha majibu ambayo alere determine imedetect ni hiv + kama ni kweli una hiv unigold pia itaonyesha +
 
Ni kweli coz hata kama huna hiv ila una magonjwa mengine makubwa inaweza soma positive ila wakienda kuconfirm kwenye unigold kama ni kweli una hiv unigold itaonyesha. So unigold ndio ipo more accurate haina longolongo.

Mhhm...Basi hiko kipimo hakifai
 
Back
Top Bottom