Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

Sasa wewee umekaa miaka yote huko ulaya.huyo mtoto utampata vipi akiwa TANZANIA?
 
Si unakua umemsaidia binaadam mwenzako? Mungu ndiye atakayekulipa so hata ukimrithisha mali zako inaweza kuwa poa au unaonaje jamani!
Shida sio kusaidia, bali unatakiwa uambiwe ukweli ili uwe unajua kuwa unatoa msaada. Maana msaada na wajibu ni vitu viwili tofauti, kwa mtoto wako ni wajibu wa mzazi ila mtu mwingine ni msaada. Pia kama kuna ulizima hata mzazi wa huyo mtoto alitakiwa achangie matumizi ya mtoto wake.
 
Well said
 
Kawaida tunapima watoto wakiwa chini ya mwaka mmoja. Wangu pamoja na resistance za mama niliwapima
Mkuu uliwapima hapa hapa bongo au, na njia zipi ulitumia mkuu.....Mana naskia kuna ulakini kwenye majibu sijui hili unalizungumziaje
 
Si unakua umemsaidia binaadam mwenzako? Mungu ndiye atakayekulipa so hata ukimrithisha mali zako inaweza kuwa poa au unaonaje jamani!
Unayakumbuka ya Baba Diamond? Unalea mtoto wa kibaka wa kitaa mwisho wa siku unaambiwa na Mamaye kuwa si wako.
 
Mkuu uliwapima hapa hapa bongo au, na njia zipi ulitumia mkuu.....Mana naskia kuna ulakini kwenye majibu sijui hili unalizungumziaje
Watu wanadanganya. Nilipima hapa Bongo na si mtoto mmoja. Kwa hakika kipimo kinasema ukweli maana kuna mtoto mmoja wa mchepuko wangu ilikuwa negative. Sasa ana miaka 10 na hatufanani hata kidogo ingawa alipokuwa kichanga ilionekana kwa macho tunafanana. Baadaye mchepuko alimpeleka kwa Biological father na kweli wanafanana
 
Back
Top Bottom