Vipimo vya VVU vinauwezo wa kubaini vvu mwilini kwa muda gani?

Saint H.Jr

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
47
Reaction score
40
Asalam alayqum,
wadau,pamoja na kuwa nilitoa kama hoja katika moja ya uzi hapa,nimeona ni vyema niliweke liwe swali la kujitegemea,hivi vipimo vya VVU(HIV) vinauwezo wa kubaini vvu vyenye muda gani mwilini? Mfano,leo nimeambukizwa,inachukua muda gani hadi vipimo vionyeshe uathirika wangu?
Nawasilisha
 
vipo vinavyoweza kubaini siku hiyo hiyo vingine wiki vingine miezi kadhaa n.k
 
Kwa nchi kama Tanzania, vipo vya kuweza kutambua VVU baada ya siku 21. Kwa uhakika ni siku 90.
 
nilitoa majibu ya hili swali kwenye thread yako iliyopita,. Ksijui namna ya kuhamisha maelezo yangu ila si vibaya ukarejea posti iliyopita mkuu,.

Niliandika kwa maandishi ya rangi ya blue mkuu
 
nilitoa majibu ya hili swali kwenye thread yako iliyopita,. Ksijui namna ya kuhamisha maelezo yangu ila si vibaya ukarejea posti iliyopita mkuu,.

Niliandika kwa maandishi ya rangi ya blue mkuu

very fantastic expressions! Nilipitia but i was just scanning! Kumbe ndio maana watanzania tunashindwa kupanua wigo wa maarifa kwa sababu huwa hatutaki kusoma na tukisoma basi ni juu juu sana! Nimependa sana maelezo yako tena they are more scientific! Ngoja niku_PM unishauri kitu.
 
Mkuu natumia simu unaweza kunitaftia hayo maelezo aliyoyatoa then ucopy unipm?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
nilitoa majibu ya hili swali kwenye thread yako iliyopita,. Ksijui namna ya kuhamisha maelezo yangu ila si vibaya ukarejea posti iliyopita mkuu,.

Niliandika kwa maandishi ya rangi ya blue mkuu

Basi huo uzi unaousema siyo wa huyu jamaa, ulikuwa ni uzi wa member mwingine anaitwa beeper (mtu anayebipu) ambao ni huu

Rejea thread ya CD4 ngapi unaanza kutumia ARV.

Nimeandika kwa rangi ya blue

Yale uliyokuwa umeandika kule ni haya hapa chini;

Last edited by a moderator:
katika sayansi kubwa kabisa uwezekeno wa kugundua maambukizi ni ndani ya masaa wala si siku lakini ni kwa wenzetu na njia hizo kwa sasa hazipo kwenye public service ila wanazituia zaidi katika tafiti zinazoendelea kufanyika,mfano wanaweza kumwekea virusi hata panya na muda huo huo wakaanza kumchunguza, lakinikwa hapa kwetu ni miezi mitatu toka maambukizi,na kwa wenzetu hata ndani ya wiki kwenye publi service wana uwezo wa kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…