Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

Vipindi bora vya habari kwenye media za Tanzania

Joined
Jul 8, 2013
Posts
53
Reaction score
75
Media za Tanzania zimepitia mabadiliko kadhaa yanayotokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Hivi ni vipindi vya habari ambavyo vinanivutia kwenye media za Tanzania.
1. TBC 1 Aridhio
2. TBC 1 Aridhio
3. TBC 1 Aridhio
4. KAIFA ya TBC Taifa
5. Mirindimo ya asubuhi TBC Taifa
6. Dira ya mchana TBC 1
7. Azam News
8. ITV Habari
9. Power Bank ya Bongo FM
10. Jungu Kuu TBC Taifa

Wasalaam
 
Back
Top Bottom