beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022.
Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi ikiwemo Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Hali ya Baridi ipoje hapo unapoishi?