Vipo vitu huwa vinashangaza sana

Vipo vitu huwa vinashangaza sana

Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca

Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT

Abacadabra.
 
Abacadabra.
ABRA KA DABRA ni neno lisilo na fahamika vema ila scroll yake iliokotwa sana katika mabaki ya babiloni enzi hizo lakini habari zake au matumizi yake hayakuwa specified kwa kina wengine wanasema ukivaa maandishi hayo unapona homa maana nyakati hizo watu walisumbuliwa sana na homa ya panya[tauni] inayoua haraka sana lakini uyavae katika mfumo huu
abracadabra
bracadabra
racadabra
acadabra
cadabra
adabra
dabra
abra
bra
ra
 
ABRA KA DABRA ni neno lisilo na fahamika vema ila scroll yake iliokotwa sana katika mabaki ya babiloni enzi hizo lakini habari zake au matumizi yake hayakuwa specified kwa kina wengine wanasema ukivaa maandishi hayo unapona homa maana nyakati hizo watu walisumbuliwa sana na homa ya panya[tauni] inayoua haraka sana


Abracadabra,, mumbo jumbo. Hocus pocus.
 
Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca

Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT
Na ukitaka mtu asahau deni unaandikaje?😀
 
Back
Top Bottom