Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Na vipi kuhusu kupata pisikali...?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chumvini tu sasa kwisha bari yakeSimplifying to get a woman president early next year?
Kamoooonn!
demu auNa vipi kuhusu kupata pisikali...?!
Ndio.demu au
ipo lakini zama hizi sioni kama hii ni issue sanaNdio.
Iweke tu..ipo lakini zama hizi sioni kama hii ni issue sana
poaIweke tu..
hii inaitwa kutumia fursaTunauza;
Perfume,
Karatasi nyeupe
Wallet,
Kalamu nyeusi.
Tunakutumia popote ulipo, hata kama upo jela, kwa bei rafiki tu.
Qmmake 😀bosi mwenyewe kaweka mfukoni ili awashuhie mshahara
#mokaze posibly na wewe ni mwenye kujiuliza sana juu ya mambo mbali mbali "hocus pocus' ni neno kubwa sana ni charm empower likizungumzwa kwenye charm ambayo umeitengeneza kwa ajili ya financial issue ukaweka drop of blood ukayazungumza means umeamsha dudeAbracadabra,, mumbo jumbo. Hocus pocus.
Mwanangu hizi ngoma mi sizielewi kiundani wake hebu nifahamishe vizurilet go in medium deep nature ya study mbali mbali zinaonyesha nguvu iliyopo kwenye alphabet za kiarabu kutofautisha na alphabet zingine kwa mfano herufi za kiarabu huwa na usimamizi wa aina fulani ya malaika hivyo kila herufi ya kiarabu inayo malaika wa aina fulani hivyo utakapoyaandika maneno ya
Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
ukageuza herufi moja moja ikaja katika lugha ya kiarabu maana yake kila herufi umeiongezea uzito kwa kuipa na malaika mmoja,
Je tutawakaribishaje malaika wenye herufi zao?waje wazitie nguvu ili zianze kuchapa kazi hapo hapo tutapakaza karatasi yetu [mafuta ya musk] siku ya ijumaa kwa sababu hapa tumeugeuza mfumo na kuwa wa kiarabu [USOMI WA STUDY ZA KALE NA PHILOSOFIA ZAKE ]
Hapo hata mimi napatamani kinoma niwe najipigia tuNa vipi kuhusu kupata pisikali...?!
let go in medium deep nature ya study mbali mbali zinaonyesha nguvu iliyopo kwenye alphabet za kiarabu kutofautisha na alphabet zingine kwa mfano herufi za kiarabu huwa na usimamizi wa aina fulani ya malaika hivyo kila herufi ya kiarabu inayo malaika wa aina fulani hivyo utakapoyaandika maneno ya
Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
ukageuza herufi moja moja ikaja katika lugha ya kiarabu maana yake kila herufi umeiongezea uzito kwa kuipa na malaika mmoja,
Je tutawakaribishaje malaika wenye herufi zao?waje wazitie nguvu ili zianze kuchapa kazi hapo hapo tutapakaza karatasi yetu [mafuta ya musk] siku ya ijumaa kwa sababu hapa tumeugeuza mfumo na kuwa wa kiarabu [USOMI WA STUDY ZA KALE NA PHILOSOFIA ZAKE ]
Hv kwann ushauri kama huu usifike kwa mama Samia Suluhu ayaandike maneno afu aende nayo kule IMF au world bank au kwa wahisan s tutakuwa mbali sana ndugu zangu😇🤣Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT