Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
plani za kuwatoa upepo manyapara hiziChadema ndipo mlipofikia
Bora haya kuliko ccm mnaouaChadema ndipo mlipofikia
Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT
ABRA KA DABRA ni neno lisilo na fahamika vema ila scroll yake iliokotwa sana katika mabaki ya babiloni enzi hizo lakini habari zake au matumizi yake hayakuwa specified kwa kina wengine wanasema ukivaa maandishi hayo unapona homa maana nyakati hizo watu walisumbuliwa sana na homa ya panya[tauni] inayoua haraka sana lakini uyavae katika mfumo huuAbacadabra.
ABRA KA DABRA ni neno lisilo na fahamika vema ila scroll yake iliokotwa sana katika mabaki ya babiloni enzi hizo lakini habari zake au matumizi yake hayakuwa specified kwa kina wengine wanasema ukivaa maandishi hayo unapona homa maana nyakati hizo watu walisumbuliwa sana na homa ya panya[tauni] inayoua haraka sana
Na ukitaka mtu asahau deni unaandikaje?😀Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT
[emoji23]Na ukitaka mtu asahau deni unaandikaje?[emoji3]
ipo fasta tu nitaweka hapa sena deni ni vyema kulipa maana deni huzuia hata mtu kwenda kwa njia iliyonyooka anapofarikiNa ukitaka mtu asahau deni unaandikaje?😀
hapana kabisa mimi ni mtafiti tu katika mambo ya kale zaidi na si mganga napenda kudadisi na kujiquestion how and why thatWewe ni mshana..¿
Kwel aiseeipo fasta tu nitaweka hapa sena deni ni vyema kulipa maana deni huzuia hata mtu kwenda kwa njia iliyonyooka anapofariki
wakati unakwenda kukopa utaimba wimbo huu 'ZAAL ZA ZA ZAAL' kimoyo moyo GIFTKwel aisee
Dawa ya deni ni kulipa
Weka basi ya kukopa