Viporo vya kutisha ligi ya Congo. Zahera akatutukana weeeee, kumbeeee...

Viporo vya kutisha ligi ya Congo. Zahera akatutukana weeeee, kumbeeee...

halafu ni timu 6 zinashiriki kama zingekuwa ishirini kama za kwetu ukijumlisha na mashindano ya sport pesa na mapinduzi ni wazi viporo vingekuwa zaidi huyu jamaa kawaambukiza unafiki mpaka mashabiki wake
Umesahau Azam federation cup
 
PUMBAVUUUU!! #inmajuto's voice. That ain't be justifications for fucking decisions!
 
Back
Top Bottom