OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Sikio la binaadamu limegawika sehemu kuu tatu, sehemu ya nje, sehemu ya kati na sehemu ya ndani.Mie sijaelewa huu uzi unahusu nn au ni mambo ya mashine au mitambo?
Ahaa hapo nimeelewaSikio la binaadamu limegawika sehemu kuu tatu, sehemu ya nje, sehemu ya kati na sehemu ya ndani.
Uzi huu unahusu mchakato wa kusafirisha mitetemo ya hewa sehemu ya kati ya sikio kwenda sehemu ya ndani ya sikio.
Kwanini mada hizo zinapendwa?Ahaa hapo nimeelewa
...sema huu uzi hautopata wachangiaji wengi labda ungeweka mada inayohusiana na kupigana miti[emoji23]
Wabongo wengi wanapenda udaku, kula na kupigana miti maana maisha yenyewe ni stress tu viongozi wanagawana hela huku wananchi wa chini wanalia na kusaga meno sasa hakuna namna inabidi watu waendelee kujifariji kwa starehe tu maana kuwaza kutoboa ni ngumuKwanini mada hizo zinapendwa?
Ooh sawa sawa. Ahsante sana.Wabongo wengi wanapenda udaku, kula na kupigana miti maana maisha yenyewe ni stress tu viongozi wanagawana hela huku wananchi wa chini wanalia na kusaga meno sasa hakuna namna inabidi watu waendelee kujifariji kwa starehe tu maana kuwaza kutoboa ni ngumu