Ungesema uko mkoa gan ingekuwa rahisi saaana nadhani kukushaur au kukutajia bei kwa uzoefu kwan bei ya spear kwa dar na mikoani ni tofaut nadhani,lakin kwa shockup za mbele zote mbili usipungue 250,000tsh ukitaka nzur za kudumu na kwa shockups za nyuma usipungue 150,000tsh pia kwa nzur na imara kias but hizo ni kwa kampuni hiz za kichina kwa zile geniun kabisa sina uhakika pia unaweza kununua used ambapo sikushaur kabisa,kwa upande wa hiyo fenbelt sijawahi kununua!! Hiyo n kwa uzoefu wangu maana natumia gar kama yako but ya 2005
Sent using
Jamii Forums mobile app