Mkata-tamaa
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 180
- 312
Wakuu naombeni kujua gharama ya shockups na fan belt kwa gari tajwa kwenye kichwa cha habari.
Kuna hela nimeokota na nimempata mtu anayetaka kuniuzia gari hilo, ila ameniambia itabidi nibadilishe shock ups zote na fan belt.
Nisaidieni gharama ya hizo spares ili nimdeduct kwenye maelewano ya kuuziana gari.
Natanguliza shukrani kwenu na Krismasi njema.
Sent using Jamii Forums mobile app