apana mi chitak bana...mimi si wa sakrament wako...nastak kuwa kiraka.......!!!!!:yield::yield::yield:Baada ya saa za kazi tuonane tuongee kabisa
Wewe siyo kiraka bana mbona hivyo
hahaaaaaaaaaaaa hahaaaaaaaaaaaaaZinaendana na yako si ndo vzr
nyani haoni kundule, we unasema avata ya mwenzio yako huioni
mmh apana kaka lugha iz uwaga mwiko kwanguChuchumaa juu ya kioo utaliona @ Rose 1980
Jamani duniani kuna mambo
Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi
Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba
Tatizo rangi ya kiraka sasa ni tofauti na ile ya penzi
Kuiondoa kazi
Jamani jihadharini sana