Mkuu kwani ukoo wenuna asili ya akina Mahaba jr?Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.
Nimeumia sana Chelsea kufungwa japo mimi sio fan wa Chelsea bali ni fan wa Frank Lampard.
Liverpool kushinda pale Darajani kumezidi kuweka kibarua cha huyu mwamba hatarini zaidi na zaidi.
Ila yote kwa yote huyu mwamba Virgil akae nje ya uwanja kidogo ili hawa Liverpool wapunguzwe speed yao hii.
View attachment 1213813
Ngoja waje Kanisa kuu MaseysideNapoli waliwezaje
Mchawi ww kasoro zana tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata sisi tunaomba KDB aumie, Aguero yeye bado muda wake wa kuumia nadhani ni kuanzia nwezi ujao
Hahahaa adui muombee njaaMchawi ww kasoro zana tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watakalia tu punde.Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.