Virgil Van Dijk ataumia lini?

Virgil Van Dijk ataumia lini?

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.

Nimeumia sana Chelsea kufungwa japo mimi sio fan wa Chelsea bali ni fan wa Frank Lampard.

Liverpool kushinda pale Darajani kumezidi kuweka kibarua cha huyu mwamba hatarini zaidi na zaidi.

Ila yote kwa yote huyu mwamba Virgil akae nje ya uwanja kidogo ili hawa Liverpool wapunguzwe speed yao hii.

download-1.jpeg
 
We jamaa wewe sijui umewaza nn

Jamaa anatumia akili nyingi achezi rafu za kijinga kiukwel jamaa nibora sana
 
Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.

Nimeumia sana Chelsea kufungwa japo mimi sio fan wa Chelsea bali ni fan wa Frank Lampard.

Liverpool kushinda pale Darajani kumezidi kuweka kibarua cha huyu mwamba hatarini zaidi na zaidi.

Ila yote kwa yote huyu mwamba Virgil akae nje ya uwanja kidogo ili hawa Liverpool wapunguzwe speed yao hii.

View attachment 1213813
Mkuu kwani ukoo wenuna asili ya akina Mahaba jr?
 
Wakati yupo Soton niliwahi kutazama mechi moja nikasema huyu jamaa ni waya ya umeme. Anajua sana majukumu yake ni ni miongoni mwa wachezaji wanaotishia uhai wa ballon dor kwa mchezaji wangu wa siku zote CR7.

VVD ni waya ya umeme.
 
Mkuu ushindi wa Liverpool kwa sasa haumtegemei sana mtu mmoja mmoja kama Virgil Van Dijk.
Kwa mechi ya darajani Man of the match (MOTM) alikuwa Joel Matip.

Virgil hakuwa vizuri sana, hata mechi ya Napoli VVD alitoa boko.

Mechi ya UCL robo final 2008 Bayern walipata tabu wakati VVD hayupo.

Liverpool wanashinda sababu ya kucheza kama timu, ile mechi ambayo Barca alikufa Anfield wakati Salah na Firmino hawakuwepo, Mane hakufanya kitu lakini watu wasiotegemewa kama akina Gini anatupia 2, na Divock Origi anamalizia kazi safi ya TAA ile chicky corner kick which caught Barca napping like sick chicken.
 
Huyu mwamba atapata majeraha lini akae nje ya uwanja kidogo? Maana naona spirit yake ndio inaibeba Liverpool kwa sasa.

Nimeumia sana Chelsea kufungwa japo mimi sio fan wa Chelsea bali ni fan wa Frank Lampard.

Liverpool kushinda pale Darajani kumezidi kuweka kibarua cha huyu mwamba hatarini zaidi na zaidi.

Ila yote kwa yote huyu mwamba Virgil akae nje ya uwanja kidogo ili hawa Liverpool wapunguzwe speed yao hii.

View attachment 1213813
Watakalia tu punde.
 
Back
Top Bottom