Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Acha kushabikia soka, hujui mpira,, unaaangalia mechi kwa matukio unakuja kupiga kelele, mechi ya Napoli vs Juve hukuiona Koulibaly alivojifunga goli la ushindi, Huyo messi anakosaga magoli ya wazi tuu na penalty, CR7 vilevile , kama unajua soka huwezi judge kwa hivo
nani kakudanganya?Mbona hata Van djik ni Mweusi, au kisa anachezea uholanzi unadhani ni mzungu?
koulibaly na mama ako nani kiroboto?Halaf akumbuke pia, hyo tuzo alopewa ni kwa ajili ya msimu ule, kama hatoqualify tena msim huu bhas watapewaga hao kina viroboto wao.
nikaangalie editing za YouTube?Liverpool msimu uliopita tukicheza nao hao napoli walitufunga kwao na sisi tukawafunga kwetu,nenda youtube uone salah alichomfanya huyo kolibaly wenu,weka statistics mkuu usilinganishe kwa mapenzi yako binafsi
Koulibaly ndio level za Maguire , beki anayemkaribia VVD kwa sasa ni Laporte tuuKujifunga ndio sababu duuh! Kumbuka msimu uliopta Koulibaly ni beki bora seia A, VD ni overated km alivyo Maguire tu
Dah, mama'ngu kaingia hapa!! Mkuu hii si sawa.koulibaly na mama ako nani kiroboto?
Sasa unazani uefa wanaangalia makosa ya mechi 1 tu na kutoa uamuzi km sisi?I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
Umeenda kibanda umiza ukaangalia Mechi moja ukaona uje mbio huku.. ndani ya msimu mmoja mchezaji huwa anacheza Mechi zaidi ya 50. Wenzako hawaangalii Mechi moja kama wewe.I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hv kiukweli ata kama mm nishabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nn mwafrika mwezetu raia wa Senegal Koulibaly? au ndo ubaguzi wa rangi huu?
Tatizo la wabongo wanafikiri wachezaji ni malaika, kwenye mpira makosa yanatokea sana tu, liverpool kwa muda mrefu walikosa beki imara aina ya VigrilKwahiyo unahisi lapulga uwa hakosi magoli kwa uzembe?mpira ni mchezo wa makosa hakuna mcheza mpira hasiye kosea,
Wewe ndo hujui na hujacheza mpira, beki kujifunga kwako unaona ni weakness hiyo ? Vidic, canavaro wote wamejifunga ina maana hawakuwa wazuri?Acha kushabikia soka, hujui mpira,, unaaangalia mechi kwa matukio unakuja kupiga kelele, mechi ya Napoli vs Juve hukuiona Koulibaly alivojifunga goli la ushindi, Huyo messi anakosaga magoli ya wazi tuu na penalty, CR7 vilevile , kama unajua soka huwezi judge kwa hivo
Basi we ni hater mtakatifu au humfatilii vvdSijakataa kushindwa nikweli wameshinda Napoli ila kama umeangalia mpira basi utakuwa shaidi kwamba Koulibaly ninamba nyingine.
muulize babaakoKoulibaly kabeba kombe gani?
[emoji23] tatizo huyu jamaa kaangalia mechi jana kaja na vitakwimu uchwara. Ila simlaumu "kuona ni kuamini"Unamsemea huyu au sio huyu ninaemjua mimiView attachment 1210506
Acha kushabikia soka, hujui mpira,, unaaangalia mechi kwa matukio unakuja kupiga kelele, mechi ya Napoli vs Juve hukuiona Koulibaly alivojifunga goli la ushindi, Huyo messi anakosaga magoli ya wazi tuu na penalty, CR7 vilevile , kama unajua soka huwezi judge kwa hivo
Si kukosa bali ni standard speed&accuracyKwahiyo unahisi lapulga uwa hakosi magoli kwa uzembe?mpira ni mchezo wa makosa hakuna mcheza mpira hasiye kosea,
Cr7 kwa Messi bado ni kiroboto tu...nae mwenyewe ronaldo analijua hiloMkuu ata Ronaldo ni mchezaji pia usitufanyie hvyo bwana.
Hivyo vigezo ndio sasa vinawapoteza Fifa....hivi leo hii ukitajiwa jina la VD,au Luka Modric..unastushwa na nini ? Lakini Lionel Messi jina ambalo ukilisikia uta pay attention tu.....ifikie pahala mchezaji ateuliwe kwa uwezo wake si kura au vigezo.Dah wabongo siwawezi yani mechi moja tu Leo umeangalia na unakuja na maoni kuwa beki van dijk n mbovu Hana sifa unajua vigezo walivyotumia kuchagua mchezaji bora
Uwe unafuatilia mpira na kujua stastics Za mchezaji kwa kila mechi kuna vitu Kama huvijui Kaa Kmya kuwa tu mshabiki halafu unaleta na ubaguzi wa rangi mkibaguliwa mnaanza kelele nyiingi ni Tanzania pekee mtu yupo kinjumbi KILWA umatumbini lakn anaweza tolea maamuzi mechi iliyopo wonder Madrid Spain metropolitan na kuona jopo zima halifai