Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Dah wabongo siwawezi yani mechi moja tu Leo umeangalia na unakuja na maoni kuwa beki van dijk n mbovu Hana sifa unajua vigezo walivyotumia kuchagua mchezaji bora
Uwe unafuatilia mpira na kujua stastics Za mchezaji kwa kila mechi kuna vitu Kama huvijui Kaa Kmya kuwa tu mshabiki halafu unaleta na ubaguzi wa rangi mkibaguliwa mnaanza kelele nyiingi ni Tanzania pekee mtu yupo kinjumbi KILWA umatumbini lakn anaweza tolea maamuzi mechi iliyopo wonder Madrid Spain metropolitan na kuona jopo zima halifai